la Jeneral
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 392
- 57
Uko tayari kwa:
Kuhonga nyumba jumla, gari jumla, shamba jumla na samani zote za ndani jumla kisha, mwisho wa kutembelea nyumba ndogo saa 5 usiku? Maana una nyumba kubwa utakumbushwa saa 5 usiku ukifika kuwahi nyumba kubwa vyumba visilale wazi huko. Huruhusiwi kuja nyumba ndogo bila taarifa au hodi. Matumizi kwa siku au kwa mwezi ni mara 95 ya matumizi ya nyumba kubwa, japo hiyo itakuwa ndogo. Ukishahonga vilivyotajwa hapo juu na mfuko ukalegea au ukagoma kuongeza matumizi zaidi unapigwa mkwara usepe zako utafute ndogo nyingine. Kama hayo unayaweza, sema tukuunganishe.
nimezipenda comment zenu.Kumbe watanzania habari hizi mnasoma ila habari muhimu hamsomi!
yaan dada digna ukisikia moyo unataka kutoka au bubu anataka kusema ndo hapo ukishahonga vyote ivyo halafu mwanamke anakuwa haeleweki na jeuri ya kukufukuza anakuwa nayo,,,,,,,,tunatakiwakuhonga kwa akili sio kibushoke bushoke
nimezipenda comment zenu.Kumbe watanzania habari hizi mnasoma ila habari muhimu hamsomi!
Kuhonga kwa akili ndo kivipi??? Kama una akili huwezi kutafuta nyumba ndogo na ukitafuta huipati labda vibanda tu ambavyo kila siku utakuwa unavipitia leo cha chips, kesho cha mihogo, keshokutwa cha vibua n.k. Nyumba ndogo bila kukosa akili utampata nan? Lazima uwe huna akili ili kumiliki nyumba ndogo. Wenye akili wote wana nyumba kubwa tu au wanapitia vibandani (kila siku ana service za fasta fasta anasepa). Kumiliki nyumba ndogo mziki baba.
digna 37, kuhonga sio issue mama,
issue ni kuilipa ile fadhila basi,
je hata wewe nyumba ndogo waweza kutoa huduma iliyotukuka ikalingana
na hiyo hongo unayopokea?
Au kelele nyingi tu, vitendo zero!!!!
Maana yake isije kuwa twatiana shombo tu na kumbe kazi yenyewe huwezi!
Ukijua kula bibie, ujue na kulipa eeh.......................
Jamani natafuta Nyumba ndogo umri miaka 25-30
nimezipenda comment zenu.Kumbe watanzania habari hizi mnasoma ila habari muhimu hamsomi!
Jamani natafuta Nyumba ndogo umri miaka 25-30
Nizuge nini sasa,Madem wenyewe wanatongoza ....hapa nshapata PM za kufa Mtu ...Ishi uone mengi.