Natafuta nyumba ndogo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta nyumba ndogo!

Discussion in 'Love Connect' started by KGB, May 24, 2011.

 1. K

  KGB Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani natafuta Nyumba ndogo umri miaka 25-30
   
 2. duda

  duda Senior Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  zimebaki nyumba kubwa tu huku kwetu!! pole labda uende mitaa mingine
   
 3. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nenda uwanja wa FISI ziko za kumwaga!
   
 4. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hauko siriazi wewe nyumba ndogo utaipata wapi kirahisi hivi huogopi ngoma

  Weka jinsia yako watu wakuelewe
   
 5. KWI KWI

  KWI KWI JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  wewe unataka kununua matatizo......mkeo/mmeo hakutoshelezi?Kama ndio mwambie mzungumze kwanza nini unataka...unachotaka kwenye nyumba ndogo nyumba kubwa atakupa.
  NB:Muombe ruhusa kabisa mkeo/mmeo kuwa unataka nyumba ndogo...kisha akuruhusu.Mwenyewe utarudi nyumba kubwa period!!!!!.
   
 6. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Kuna nyumba ndogo ya kichina mtaa wa pili!!
   
 7. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hapa kwetu ofisini kuna kibanda cha mlinzi hakiishi mtu nafikiri kitakufaaa coz ni kidogo kweli kweli
   
 8. S

  Smarty JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  nyumba ndogo unataka ya kuishi au ya kufanyia biashara?????
   
 9. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,025
  Likes Received: 3,051
  Trophy Points: 280
  Ni kadogo sana kana vyumba viwili tu,ni sh80,000
   
 10. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Una mpango wa kufuga kuku?
   
 11. K

  KGB Member

  #11
  May 25, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nimezipenda comment zenu.Kumbe watanzania habari hizi mnasoma ila habari muhimu hamsomi!
   
 12. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni pm. Kama uko interested, kuna hii hapa mtaani kwetu, ina chumba kimoja cha kulala, jiko,na kasebule choo unashea na nyumba kubwa
   
 13. S

  SACoNa Member

  #13
  May 25, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nyumba ndogo ya kuhifadhia Mayai ya kuku wa kisasa au?
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mimi hapa ila nina miaka 60. Upo tayari?
   
 15. Digna37

  Digna37 JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2011
  Joined: May 17, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 60
  Uko tayari kwa:
  Kuhonga nyumba jumla, gari jumla, shamba jumla na samani zote za ndani jumla kisha, mwisho wa kutembelea nyumba ndogo saa 5 usiku? Maana una nyumba kubwa utakumbushwa saa 5 usiku ukifika kuwahi nyumba kubwa vyumba visilale wazi huko. Huruhusiwi kuja nyumba ndogo bila taarifa au hodi. Matumizi kwa siku au kwa mwezi ni mara 95 ya matumizi ya nyumba kubwa, japo hiyo itakuwa ndogo. Ukishahonga vilivyotajwa hapo juu na mfuko ukalegea au ukagoma kuongeza matumizi zaidi unapigwa mkwara usepe zako utafute ndogo nyingine. Kama hayo unayaweza, sema tukuunganishe.
   
 16. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,522
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Ni rahisi kuchangia utumbo lakini zile muhimu inabidi utafakari sana ikiwa vipi unakaa kimya na kusoma Comment za wenzako tu. Lakini kama ni utumbo simple tu huhitaji kufikiri sana.
   
 17. vena

  vena JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jenga....auulionayo ipunguze iwe ndogo.aaah no no no no....kuna subforum ya nyumba connect hapo chin wapo wanao tafuta nyumba kubwa so mnaweza kubadilishana
   
 18. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Age ain't nothing but.............
   
 19. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Humu muda mwingine wanakua wameshachoka!
  Hawahtaji kufikiri zaidi.
  Hizo nyuma ndogo nakumbuka zipo maeneo ya quater za reli pale ilala zitakufaa!
   
 20. N

  Ndevu mbili JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Humu muda mwingine wanakua wameshachoka!
  Hawahtaji kufikiri zaidi.
  Hizo nyuma ndogo nakumbuka zipo maeneo ya quater za reli pale ilala zitakufaa!
   
Loading...