Natafuta Nyumba inayouzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Nyumba inayouzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mwiba, Jun 15, 2010.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Natafuta nyumba inayouzwa Daresalaam,pia itakapopatikana muuzaji akubali kuwepo kwa wakili.Yaani nyaraka zote zitapitia kwenye uhakiki au zitahakikiwa na wakili ,na tangazo pia litawekwa kwenye nyumba hiyo kuwa nyumba imeuzwa kwa mwenye pingamizi ,kwa muda wa siku saba.
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Dar kubwa sana, na msg yako haijabeba uzito stahili

  unahitaji nyumba ya size gani? (1,2,3,4.. bedroom), ya aina gani? (Ghorofa au ya kawaida), iwe maeneo gani? (Dar kubwa Mkuu), Eneo gani ?(Karibu na Msikiti, Kanisa, stand, Soko), yenye Hati au? na mwisho Kabisa uweke na bei yako (angalau Range)
   
 3. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu usiwe na hofu ila kwa kukusaidia wasiliana na na mtu mwenye namba hii (siyo dalali) 0654 19 73 89 au 0752 78 98 93 atakuasaidia lakini ni vizuri pia uka specify nyumba yenyewe, uko too general
  thanks
   
 4. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kam ianwezekana eka contact zako please
   
 5. Eng. SALUFU CA

  Eng. SALUFU CA Senior Member

  #5
  Jun 16, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 146
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Too general my dear, specify, na uwe serious bana sio una wa keep watu busy halafu unaingia mitini.
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  mimi ninayo
  ilipo:tegeta masaiti
  kiwanja:16mx25m with title deed
  jengo:la cement block
  specs:3brdms with built in wooden wardrobes(one ensuite with a/c);sitting room;dining room;kitchen with wooden cabinets+store;shower;toilet and outer building with big storeroom and bath/toilet;paved by interlocking block whole plot;whole hse floor tiled;roof with harvey tiles and gypsum;woden doors and windows with glas panels;8feet cement wall fence with steel gate;24 hrs dawaco water;3 phase tanesco mains;4000ltrs waters resevoirs
  (all woodworks in mninga)
  price $100,000 fixed
  karibu
   
 7. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kwa ufupi sitanii ,Contact 0715472232 ,unaweza kumueleza kama anatafuta nyumba ,jibu ikiwa ndio basi utamueleza wapi ipo ili aweze kuiona ,kwa taarifa tu nimeshapata lakini moja ina wapangaji na nyingi bado zinahitaji kujengwa ,mi nilikuwa nahitaji iliokwisha kujengwa nihamie tu ,kwa ufupi maeneo ya mbezi au hata mjini kwenye nyumba zilizo pangika na zina eneo,first priority ni mkoa wa DSM na second ni Mtwara ,Mtwara nimeshazuia au nimeshapata ambayo itahitaji milioni 14 nyumba kubwa tu na imeezekwa tilez na eneo lake kubwa sana na ni mita miatatu kutoka bandarini. Hio nilioonyeshwa dar ambayo ina wapangaji ina vyumba sita na wapangaji kila mmoja analipa 20000/ kwa mwezi.Na mwisho nyumba iwe na doc kamili na yenye kulipiwa kodi ya kiwanja na iwe mwenyewe ni nambari moja yaani awepo na mwenye kuonekana na kuweza kuchukua dhamana ya mahakama kwamba anauza nyumba isiyo na matatizo nikimaanisha nambari ya kiwanja inalingana na kimesajiliwa kwa jina lake tokea wizarani mpaka shinani ,sio cha kupokezana.
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Hiyo yangu huitaki?
   
 9. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu nyumba bwelele ziko mtandanoni zinauzwa. Gonga HAPA
   
 10. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Site nzuri lakini sijaona nyumba inayouzwa kwani bei zilizopo naweza kupata kiwanja na kujenga kuliko hizo ,yaani hata gari inaingia mpaka chumbani au ukumbini, kuna viwanja vinapatikana Mbagala njia mpya ambayo itakuwa ikielekea Dar Inter'Airport ,kama mnaelewa kuwa njia ya airport ya zamani itakuwa ni ya zamani ,ilivyo kwa sasa ni utanuzi wa njia hio ya mbagala na wageni wote watakuwa wakitumia njia hiyo ,kwa maana itakuwana hadhi ya barabara ya Kimataifa kwa maana hiyo usafiri utakuwa mzri na wa haraka ,kwa wakati huo jengo katika barabara hizo itakuwa mali na huu ni wakati mzuri wa kununua plot katika mpito wa njia hiyo ,tayari ninayo nyumba na sasa nasaka plot.
  Nakushauri kama una kitita zuia plot maeneo hayo. Kuna dili ya kuifanya njia inayoelekea kusini mwa Tanzania kuweza kutumika kama njia kuu itakayotumika kwa nchi za kusini,ila weka kando hayo.
   
 11. m

  mwanandugu Member

  #11
  Mar 29, 2014
  Joined: Mar 23, 2014
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nunua kiwanja chenye nyumba maeneo ya Mbezi kwa Msuguri (Msingwa) Dar es Salaam.
  Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald Sh. Richard kwa simu namba :
  00255784342632 au +255767342632
  E-mail : cosiastore@yahoo.fr

  1. Kiwanja kipo umbali wa kilomita tatu toka barabara ya Morogoro. Kiwanja hiki kipo kando ya barabara ya Msingwa ambayo ni ya changarawe na inapitika. Kina mita 30x40, pia kina nyumba ya vyumba viwili na baraza mbili. Nyumba hii ina umeme. Pia maji yanapatikana mita mia tatu toka kiwanjani. Bei yake ni Tshs. 55 milioni.
   
Loading...