kuna nyimbo mbili ambazo zote ni soundrack
nyimbo za Mario Winans
moja ilikuwa soundrack ya filam ya Edie Murphy ya DR Dolitle..
ingine ilikuwa tv movie inaitwa 'the red sneaker'
nimezitafuta nimezikosa
anaeweza please

nilizisikia kwenye movie
hata majina sizijui
ila moja nimeona inaitwa 'hurt no more'
ingine bado na search
ilikuwepo kwenye movie ya Gregory Hines inaitwa 'the red sneaker'..