The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,436
Butcher linaitwajeMtaa wa Nkuruma karibu na mzunguko wa saa.
Hii sio miezi ya nyama za polini ,subiria mwezi wa8!Kwa hapa Dar, wapi naweza kupata nyama ya porini...
Natamani kula nyama ya porini this weekend, kama nitapata nyama ya Swala au Kiboko, itakuwa safi sana.
Ma butcher yapo wapi kwa dar ?
Unaweza kukuta pabaya panamuita....Hii sio miezi ya nyama za polini ,subiria mwezi wa8!
Polisi wetu wamekuwa kama wanyama wa porini. Kamata mmoja wao!Kwa hapa Dar, wapi naweza kupata nyama ya porini...
Natamani kula nyama ya porini this weekend, kama nitapata nyama ya Swala au Kiboko, itakuwa safi sana.
Kwanini mkuuUnakula nyama za mbugani noma sana mkuu
Kwanini zina msimu? Wakati wanyama wapo kila siku huko poliniHii sio miezi ya nyama za polini ,subiria mwezi wa8!
Hahahaha kesho nitatafuna traffic mmoja wa kikePolisi wetu wamekuwa kama wanyama wa porini. Kamata mmoja wao!
Ruvu ranch ya taifaKwa hapa Dar, wapi naweza kupata nyama ya porini...
Natamani kula nyama ya porini this weekend, kama nitapata nyama ya Swala au Kiboko, itakuwa safi sana.
Ma butcher yapo wapi kwa dar ?