Natafuta Nurse Jamani

Natafuta Nurse Jamani

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini marafiki

Niko serious jamani anahitajika nurse ambaye atamhudumia mgonjwa nyumbani kwake, na
kumpangia dawa za kunywa, kumpikia chakula maalum chake anachokula, na kufanyia massage
mshahara ni mnono sana kwa anayehitaji au aliyena ndugu ambaye ni mzoefu katika unurse
anijuze tafadhali. Awe anaishi moro au dar pls kwa aliye serious na jambo hili anitaarifu

Narudia kusema tena niko serious wala si joke hapa

Nitwangieni kwa kuni pm
 
nakushauri pia peleka hili tangazo habari mchanganyiko, matangazo madogomadogo na Jf Doctor
 
yeah, ni Kweli mimi hapo ni nesi wakiume japo nafanya kazi zingine .za udobi,uokotaji chupa ....
Nadhani utamfaa mtoa maada maana kwenye udobi utafua nguo za mgonjwa,kwenye kuokota chupa najua zitakuwepo za maji ya mgonjwa na mambo mengine mtaelewana na mwajiri wako
 
Anahitajika mwanamke kwani mgonjwa ni mama mzee hivyo mwanamke atafaa zaidi binamu samahani kwa hilo kama una ndugu yako wa kike pls niko serious best
yeah, ni kweli mimi hapo ni nesi wakiume japo nafanya kazi zingine .za udobi,uokotaji chupa ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom