Natafuta noti ya sh 100

Natafuta noti ya sh 100

chaUkucha

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,382
Reaction score
1,221
zamani tulikuwa na noti ya sh 100 naitafuta sana najua itakuwa imechakaa sio mbaya isiwe imechanika iwe katika hali nzuri.
 
ninazo nyingi sanaA mpaka simba mbili na rupia ya mjerumani kama unazitaka nitafute tugawane umasikini
 
una sh ngap mkuu?
swali una sh ngap mkuu?
una sh ngap mkuu? tukae chini
 
zamani tulikuwa na noti ya sh 100 naitafuta sana najua itakuwa imechakaa sio mbaya isiwe imechanika iwe katika hali nzuri.

Zipo za aina nyingi ndugu, we unatafuta ipi hasa toa maelezo mazuri na mimi ninazo kama aina nne kwa hiyo eleza ni aina gani unayotafuta na wanunua kwa sh. ngapi. Ni vizuri ukapanga dau wewe ili iwe rahisi kufanya biashara if u r serious.
 
Ninayo mkuu na sina kazi nayo. Lakini kumbuka msemo huu "nothing goes for nothing"
 

Kuwa specific.. nimefanya hyo biashara.. kwa sasa sina lakini kuzipata ni dakika sifuri.

sema unataka zaaje na bei gani, nipm namba yako nitakutafutia za kutosha.. kuanzia ya mmasai na taa, trekta, simba juu ya mti, etc.. so specify!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom