establishment
JF-Expert Member
- Jun 27, 2015
- 1,632
- 2,457
Wadau,
Natafuta Noah Liteace, iwe kwenye hali nzuri bajeti yangu ni 10m.
Natafuta Noah Liteace, iwe kwenye hali nzuri bajeti yangu ni 10m.
Mkuu niongezee ifike 22m nikupe Isuzu Bighorn
gari gani hiyo kwa 22m... Si bora nikanunue gazeti nijipepeee... Hata m5 sitoi...... Isuzuuuuuu bighorn gari mbovu injini inanguruma kama mashine ya kukoboa mpunga
Pia nahitaji Toyota Stout