Natafuta Nguzo za Duara za Kukodisha

Natafuta Nguzo za Duara za Kukodisha

Ramthods

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
515
Reaction score
187
Wadau,

Kuna zile nguzo za kujengea za duara, za bati (au niseme chuma).

Kuna mtu anajua zinapatikana wapi kwa ajili ya kukodisha?

Huwa wanakodisha kwa kiasi gan kwa siku?

Nipo Dar, maeneo ya Mbezi Beach

Asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom