Natafuta ng'ombe wa kinyeji wa kufuga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta ng'ombe wa kinyeji wa kufuga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimeo, Mar 14, 2012.

 1. K

  Kimeo Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 65
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wapi nitapata ng'ombe wa kienyeji na kwa bei gani hasa morogoro nataka nianze kufuga mkuranga
   
 2. N

  Nguto JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,638
  Likes Received: 608
  Trophy Points: 280
  Nenda vijijini mbona wengi. Tena sio mbali hapo Chalinze tu kuna wa masai wengi na wamang'ati wana ng'ombe kibao. Uliza siku ya mnada utamnunua ng'ombe wako.
   
 3. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,928
  Likes Received: 1,461
  Trophy Points: 280
  hata hapo moro maeneo ya kilosa ng'ombe utapata wengi tu
   
 4. mbapa

  mbapa Member

  #4
  Feb 10, 2014
  Joined: Feb 4, 2014
  Messages: 65
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  njoo Vigwaza Utapata
   
Loading...