rashidiiddi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 224
- 117
Husika na kichwa cha habar hapo juu, ningependa kutafuta ndugu ambaye ni wa kike maana ndugu zangu sina hiyo Wote walishakufa. Ahsante na kama u nahitaji tuwasiliane pm
Wa kiume wapi tatz ni ke.Mmmh Mkuu sawa utapata unataka wa kike tuu...??
Hili Swala lako linachekesha kidogo ila utapata mkuuUtapata mkuu usijal, hao ndugu wawe wangap?? Au ni idadi yeyote ile