Angalia posts za watu,utakayependa posts zake mPM muwasiliane,it will be easier for you.but remember
know your enemies,watch your friends.
Sijui nianze na wewe, ila ngoja kwanza.
Acha ubaguzi bana ,usitunyime fursa
Tatizo hujasema uko wapi maana mtu anaweza kua na nia lakini hajui Yuko umbali gani toka ulipo wewe. Sema upo mji/jiji gain?Hamjui siku zinaisha, au zereu? ni wachache wamejitokeza nataka muwe wengi ili nichague vizuri lol. sitaki zereu mjue au hamna hela?
Tatizo hujasema uko wapi maana mtu anaweza kua na nia lakini hajui Yuko umbali gani toka ulipo wewe. Sema upo mji/jiji gain?
kaama ni ke awe na umri gani? maana nahitaji kampani pia.
Lakini wahuni wapo kuanzia miaka 3 mpaka miaka 100 umri sio kigezo cha uhuni bali uhuni ni tabia isiojalisha umri.Utapenda tujumuike wapi?
Mimi ,Hapana,there are a lot of smart people/friends here kutokana na choice yako tu.
Hamjui siku zinaisha, au zereu? ni wachache wamejitokeza nataka muwe wengi ili nichague vizuri lol. sitaki zereu mjue au hamna hela?
Ni mama tu, 38yrs.