Natafuta nafasi za udereva

Natafuta nafasi za udereva

Richard Kayewa

New Member
Joined
Feb 13, 2018
Posts
4
Reaction score
0
Mimi in kijana mweny umri wa miaka 24 nilikuwa nahitaji nafasi za udereva nina leseni ya madaraja A,B,D,E
31048db39bd701de566a71f1916d96ff.jpg
 
Nenda kwa wahindi. Kuna magari ya uber. Pale kisutu. Srend ya zamani ya arusha.
 
Rudi shule katafute japo C1 maana najua C plain huwezi kupata kirahisi.....hayo madaraja uliyonayo hayana soko hata kidogo!
 
Chéti kiko wapi????
Tafuta C1 úwe na cheti cha advanced driver au VIP. Hapo ndo utakuwa dereva professional.
 
Back
Top Bottom