Natafuta nafasi ya kufundisha vyuo vya ualimu ngazi ya certificate and diploma

MJASI LIAMALI

Member
Mar 26, 2018
18
5
Habarini wakuu
Natafuta nafasi ya kufundisha vyuo vya ualimu vya ngazi ya certficate na diploma. Ninabachelor of arts with education (3.5 GPA) na masters of education in assessment and evaluation (4.7 GPA). Kwa anayefahamu chuo chochote cha ngazi tajwa hapo juu chenye nafasi aniPM tafadhari.

NB
Maelezo mengine nitayaambatanisha kwa kupitia cv na cover letter mara yatakapohitajika.
Wenye busara karibuni kutoa mwongozo.
Asante
 
B.A with Education,umeipata chuo gani,bilashaka ukiweka jina la chuo husika,utavutia wadau.
 
Kwa vyuo vya ualimu vya serikali (labda na private) kwa sasa wanaajiri watu waliosoma Bed (science, arts). Yaani wahitimu ambao kozi za education ni core.

Hata hivyo, kwa elimu yako, wekeza kwenye kufundisha vyuo vikuu. Tafuta kazi private na public universities. Kubwa zaidi, usisubiri kutembeza cv. Sambaza maarifa yako. Onesha unachojua.

Utatafutwa. Kwa karne hii, hii ndio namna ya kuuza cv yako. Tumia mitandao ya kijamii, ablogu nk kuonesha unajua nini. Ninakupa muda mfupi tu, utaniambia.
 
Asante mkuu kwa comment yako ya kiutu uzima na busara. Nimeipokea
 
Back
Top Bottom