Natafuta n97

is missile trigger.
Nasikia zinapatikana bwerere kule somalia. Nenda google ukasake potential supplier
 
Nadhani anatafuta simu ya aina ya Nokia series N97 kama sijakosea.
 
Ni Nokia series N97 au the latest model so far produced by Nokia which is N900.

For your information, N900 is a best smartphone in the market so far, ikifuatiwa kwa karibu kabisa na Apple iPhone 4!!

Mkuu lakini unajua bei zake.......N900 haipungua Tshs. 1.94 Mil wakati Apple iPhone 4 32GB ni Tshs 2.1 Million while Apple iPhone 4 16GB ni Tshs. 1.9 Million.

Ukiitaji ni PM zipo handset chache nilileta kwa ajiri ya high networth individuals!! All are gunuine products.
 

Naona bei zako ni unreasonably high. Mfano Nokia N900 inauzwa $440 hapa Amazon.
 
wakuu asante nimeshapata majibu. Mkija huku bongo msisahau kuja na mazagazaga used ili na sisi ndugu zenu mliotuacha huku tufaidi japo kwa kuyagusa.

Mchana mwema.
 
Achana n N97 hiyo ndiyo ninayotumia. Ukijaza madude itakuwa inakwambia memory full kila mara unamgaika kuclear. Walivyopitengeza ukitaka kusave issues by default unasave kwenye C drive ambayo ina memory space chache. Chukua hiyo N900 ila bei za jamaa kidogo bora zipo juu sijui anakupa na warranty ya muda gani?
 

Mkuu, naona NOKIA wamekuja na C6 vipi yenyewe ukilinganisha na N900?
 
wakuu asante nimeshapata majibu. Mkija huku bongo msisahau kuja na mazagazaga used ili na sisi ndugu zenu mliotuacha huku tufaidi japo kwa kuyagusa.

Mchana mwema.

ahahha!we jamaa umenichekesha kweli.
 
 
 
Kwanza hiyo ni bei ya UK ama Australia.

Kwa ujumla hadi sasa Nokia wanaiuza N900 kwa TSHS. 780,000/= Kwa hapa nyumbani; wakati N97 imeshuka kidogo hadi TSHS. 720,000/=

So far Iphone 4 haijafikia tshs.1.2, and by my experience bidhaa hizi hazipandishwagi bei huwa zinashuka kila kukicha kwa kuwa MAGINIASI Wanatoa mali bora, portable respectively.

So thanks; but not Interested.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…