Kwenye hilo ndugu yangu tutabishana mpaka kesho,definition ya kuokoka kila mtu anayo yake.Niliposema hofu ya Mungu,I meant,mtu anayemfahamu Mungu,anayefanya juhudi kutenda mema,kutokosea wenzake,nasema juhudi kwa kua sisi ni binadamu na ktk ubinadamu wetu huanguka dhambini,ila Mungu anatupenda siku zote na anatusamehe pale tunapotubu na kufanya jitihada tusikosee tena. Nisingependa kua na Mwenzi asiyependa dini na kwenda kanisani kusikiliza neno la Mungu kwani linatusaidia kuishi vyema.
Kila mtu ana haki ya kufikiri na kutoa mawazo.