Natafuta mwenzi wa kuishi nae

Natafuta mwenzi wa kuishi nae

ilisha juniour

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
714
Reaction score
219
Mimi ni kijana,umri wangu miaka 26,nina kipato cha kawaida kwa kazi ya kujiajiri,dini yangu mkristo,nahtaj mweza wa maisha,awe mrefu wa wastan,mnene kiasi,sibagui dini,rangi wala kabila ila anatakiwa awe mwajiriwa ama amejiajiri,kwa aliye serious ani pm nitampatia namba ya simu.narudia tena niko serious.
 
Jamani wadada changamkieni dili hilo, mwenzenu "yuko serious" narudia tena mwenzenu "yuko serious".
 
26yrs unambwela tu kwenye mitandao...go out there...there lots of them huku unakimalizia kimchina chako charge kaka!! be a man..face them!!!!!!!!!
 
Hata mimi natafuta mwanamke wa kuoa, awe na macho ya kurembua, kiuno cha nyigu, miguu kama kirungu cha polisi, kifua saa sita, nywele za singa.
Tukutane PM mwenye sifa kama hizo, nipo serious jamani, narudia tena nipo serious!!!
 
26yrs unambwela tu kwenye mitandao...go out there...there lots of them huku unakimalizia kimchina chako charge kaka!! be a man..face them!!!!!!!!!
si kwamba sina uwezo wa kutongoza,pia si kwamba nje ya hapa sijawaona ila naamini kwamba hapa pia anaweza patikana mwenza wa maisha,kwenye jamii kama hii ya watu laki moja na nusu siamini kama wanawake wote waliomo humu sio wife material!
 
Ata mimi natafuta mchuma mweupe, mrefu wastan, ostadhat,nipo zaidi ya serioz, nicheck kwa aliye tayari tuwasiliane.
 
hata mimi natafuta mchumba mweupe, mrefu wastan, ostadhat,nipo zaidi ya serioz, nicheck kwa aliye tayari tuwasiliane.
 
Hata mimi natafuta mwanamke wa kuoa, awe na macho ya kurembua, kiuno cha nyigu, miguu kama kirungu cha polisi, kifua saa sita, nywele za singa.
Tukutane PM mwenye sifa kama hizo, nipo serious jamani, narudia tena nipo serious!!!

Daddy.... Daddy.... Umeanza lini huu mchezo???? Haki ya mbuzi naenda kushtaki kwa mummy......
 
Daddy.... Daddy.... Umeanza lini huu mchezo???? Haki ya mbuzi naenda kushtaki kwa mummy......

Namuolea mdogo wangu...kwetu kimila inaruhusu daughter yaani mara hii tu ushasahau!!!
 
niko serious mwezenu... nasema niko serious....! hii thread nimependa sana tena sana! imenifurahisha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom