hahahaha...:lol:
Inamsaidia na yeye kwenye list ya thanks zake, maana hana hata moja!!!
Nimeshamsamehe saba mara sabini
Sasa ukalale kwa amani...usku mwema!
Duuuuh
Nilikuwa sijaiona hii
Ngja basi nikugongee yangu ambayo ni tamu zaidi, ina processor ndani kabisa
(nina wivu utafikiri nimeshakuoa)
The Following User Says Thank You to Keren_Happuch For This Useful Post:
CPU (Today)
Asante na wewe usiku mwema hivi niko kitandani ujue
Jamani wewe CPU, usinitafutie balaa mwenzio....si ni juzi tu hapa kulikuwa na shamrashamra sijui za harusi??!!!!
Nani kasema???
Hii tutakayofanya ndio itakuwa harusi origino
Akaaa, mimi siwezi! kama hiyo hata mwezi haujaisha...mi nitamuweza CPU...labda kuna virus...:lol:
mkipata wachumba mkuwe mnatujulisha ili tuanzishe ma sredi ya michango. asanteni kwa ushirikiano
Ile ilikuwa harusi mwanasesere, usiogope Virusi switi,
Mwasapile bado yuko hai
Mhhh...babu sasa amekuwa jibu ya kila kitu!!!
haya bana...nikutakie usku mwema. Mimi natawanyika sasa!
Mimi nawashangaa sana wabongo kwa kuponda kila kitu. mimi nimetumia technologia kujitafutia mke na kutoa vigezo ambavyo nimeona ni muhimu kwangu, lakini mnaniponda kwani mnataka niwaoe nyie?? Mnataka nifanyeje?Ningesema natafuta changu, mngeniita chizi. ningesema natafuta mntoto wa Kisure, mngeniita Mhaya au sharubaru. Nyie mkiwa mmeshaoa au kuolewa mniache na udhaifu wangu. Nina uhakika wa kumpata mwanamke wa dream yangu. Sijatafuta malaika, nimetafuta mwanadamu. Na pia siwezi kusema mie ni mtu hovyo mie siyo hovyo, lazima nijinadi, kwani nimesoma, mtanashati na ukweli ndo huo.Nina maisha ya kuridhisha na ninashukuru Mungu kwa hilo. Narudia tena vigezo vyangu
1. Natafuta mwanamke mrembo, na msafi. Kama hana kazi, basi awe ni mtu wa kujisheshimu
2. Mwanamke mwenye hips na maziwa makubwa
3. Mwembamba na mnene sawa tu
4. Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja
5. sitaki mwanamke mwenye bwana au boyfriend, unless uhusiano wao umekwisha
6. Mwanamke asiwe na drama, kwani mie sina drama kabisa. Mapenzi yawe ni yangu na yake. Habari ndo hiyo wakuponda mniponda. Mrembo kama ni wewe, ni beep kupitia interneti yangu hapo chini na wanga, wenye wivu wote wakajinyonge. Ila mrembo wangu anishtue
Simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo Dar. muheza1982@hotmail.com
mie nimekupenda chentutu na unavyoweka hizo H ndio kabisaa inaelekea lafudhi yako ni maenglish tu,usafiri unao nyumba unayo what else do i want in a man??? kwa kweli HAKUNA!...tupe vigezo vyako,unataka maziwa makubwa wewe je ukoje umepanda hewan?i,mwili wa mazoezi na sura ya kuvutia? unavaa miwani? sema basi ili utuvute zaidi wadada...mie sio mrembo ila naweza kukuaminisha kuwa ni mrembo lol
Msinishangae. Nina miaka 33, single, Msomi, Digrii ya Engeneering ninayo. Mtanashati sana, usafiri wangu ninao. Kazi pia ninayo. Natafuta mwenza, kipenda Roho mpenzi mwanzo, na mke wa baadae. Lazima awe na umbo na Sura ya kuvutia, Napenda Hips na Maziwa makubwa. Lazimwa awe msafi. sitaki mwanamke mwenye harufu chafu au mdomo mchafu. Ukiwa mwembamba pia poa lakini maziwa makubwa muhimu. Sitaki mwanamke mwenye Mume, au Boyfriend, lazima awe single na kazi yake ya maana siyo changudoa. Hata kama hauna kazi, lakini hawe na heshima zake.....Mwenyewe utapenda
sina, mke, mtoto wala drama, kwa hiyo usilete drama... ukiwa na mtoto mmoja poa. ila isije ikawa kuna drama nyuma yake. kwa maana nitachomoka yanikinizidi kimo
Simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo Dar. muheza1982@hotmail.com
Vigezo vyoooooote ninavyo. Tutaongea mwaya.
Asi utanipa na mimi gari eeh!!!
Mpenzi, nipe tu PM tuongee zaidi, kwanza mwenyewe utafurahi... Tuwasiliane basi
Wewe mbona husemi kuhusu DA?
Au unapenda Magari ya Taka?