anti wee unaichongea sana. kama hauna time, basi niache hivyo hivyo. wala haun haja ya kuchangia. hacha kuumiza feelings za watu
Hiyo ni lugha gani??? hiyo niliyoweka bluu.
Unachekesha nakuchongea kwa nani injiniaaaa??? Boss Hapa sidhani kama kuna mtu ana feelling na wewe hata mmoja huoni hata haya???
Na sikuachi nilitaka kulala ngoja nikae kabisa na bado
DA msamehe asije akaiona JF chungu bure,mwenzio nalifeel liswagga lake....:lol::lol:
Poa anataka kudhalilisha wanawake halafu tukimwambia eti tunamchongea peleka mashauzi yako hukooooooooooooo.
Kwa dharau hizo hutapata mke kamwe 33yrs huna mke aibu gani hiyo
Poa anataka kudhalilisha wanawake halafu tukimwambia eti tunamchongea peleka mashauzi yako hukooooooooooooo.
Kwa dharau hizo hutapata mke kamwe 33yrs huna mke aibu gani hiyo
I just dont get you. Whats the problem. Mbona unanisakama sana, nimekukosea nini.... sidhalilishi, unataka niseme sitaki matiti makubwa, alafu nipate mwanamke asiye na maziwa alafu nimuache? vipi wewe dada... mbona hivyo?
Msinishangae. Nina miaka 33, single, Msomi, Digri ya Engeneering ninayo. Mtanashati sana, usafiri wangu ninao. Kazi pia ninayo. Natafuta mwenza, kipenda Roho mpenzi mwanzo, na mke wa baadae. Lazima hawe na umbo na Sura ya kuvutia, Napenda Hips na Maziwa makubwa. Lazimwa awe msafi. sitaki mwanamke mwenye harufu chafu au mdomo mchafu. Ukiwa mwembamba pia poa lakini maziwa makubwa muhimu. Sitaki mwanamke mwenye Mume, au Boyfriend, lazima awe single na kazi yake ya maana siyo changudoa. Hata kama hauna kazi, lakini hawe na heshima zake.....Mwenyewe utapenda
sina, mke, mtoto wala drama, kwa hiyo usilete drama... ukiwa na mtoto mmoja poa. ila isije ikawa kuna drama nyuma yake. kwa maana nitachomoka yanikinizidi kimo
Simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo Dar. muheza1982@hotmail.com
mhhh...haya nakutakia kila la heri kwenye utafutaji wako! Usisahau kumshirikisha Mungu kwenye utafutaji wako!
Unalo hilo limekuganda. Nakusakama ha ha ha ha uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Nakusakama eehhh na bado ndo kwaanza nimeanza
My Dia cool down bana
Msamehe, muonee huruma.
Nae ni kiumbe kama wengine anastahili huruma hata kama amekosea
Usiendelee dia
Pls I beg you
Unalo hilo limekuganda. Nakusakama ha ha ha ha uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Nakusakama eehhh na bado ndo kwaanza nimeanza
Hiyo kwangu ni amri haya usiku mwema mie nalala
Ha ha ha
Unazipenda eeeh???
Msamehe tu Dena huyo bure...!!!
Sleep tight.