dah! injinia kabamizwa kweli kwenye hii sredi. na kwa hali ilivyo hata akuje na lawyer wa Maiko Jordan hii sredi haiwezi kufanikiwa tena.
hehehe at least injinia akiona post hii anaweza akalejea kuendeleza sredi yake. tuongezeni maombi alejee jamani.sie wanawake ni wa ajabu sana,pengine kuna waliom-pm tayari....mie sitashangaa nani asiyetaka mtu mwenye kila kitu? nyumba usafiri mnh mie nimetamani.:teeth:
Msinishangae. Nina miaka 33, single, Msomi, Digri ya Engeneering ninayo. Mtanashati sana, usafiri wangu ninao. Kazi pia ninayo. Natafuta mwenza, kipenda Roho mpenzi mwanzo, na mke wa baadae. Lazima hawe na umbo na Sura ya kuvutia, Napenda Hips na Maziwa makubwa. Lazimwa awe msafi. sitaki mwanamke mwenye harufu chafu au mdomo mchafu. Ukiwa mwembamba pia poa lakini maziwa makubwa muhimu. Sitaki mwanamke mwenye Mume, au Boyfriend, lazima awe single na kazi yake ya maana siyo changudoa. Hata kama hauna kazi, lakini hawe na heshima zake.....Mwenyewe utapenda
sina, mke, mtoto wala drama, kwa hiyo usilete drama... ukiwa na mtoto mmoja poa. ila isije ikawa kuna drama nyuma yake. kwa maana nitachomoka yanikinizidi kimo
Simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo Dar. muheza1982@hotmail.com[/QUOTE
Samahani mgosi kama nitakukwaza, kwa maelezo yako inaonesha wewe ni mwenye makuu sana. na hilo ni si jambo jema. Kama wazazi wetu wangekuwa na mashauzi kama ya kwako wote tusingezaliwa.

Simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo Dar. muheza1982@hotmail.com
dah! injinia kabamizwa kweli kwenye hii sredi. na kwa hali ilivyo hata akuje na lawyer wa Maiko Jordan hii sredi haiwezi kufanikiwa tena.
Noted.Msinishangae. Nina miaka 33, single, Msomi, Digri ya Engeneering ninayo. Mtanashati sana, usafiri wangu ninao. Kazi pia ninayo. Natafuta mwenza, kipenda Roho mpenzi mwanzo, na mke wa baadae. Lazima hawe na umbo na Sura ya kuvutia, Napenda Hips na Maziwa makubwa. Lazimwa awe msafi. sitaki mwanamke mwenye harufu chafu au mdomo mchafu. Ukiwa mwembamba pia poa lakini maziwa makubwa muhimu. Sitaki mwanamke mwenye Mume, au Boyfriend, lazima awe single na kazi yake ya maana siyo changudoa. Hata kama hauna kazi, lakini hawe na heshima zake.....Mwenyewe utapenda
sina, mke, mtoto wala drama, kwa hiyo usilete drama... ukiwa na mtoto mmoja poa. ila isije ikawa kuna drama nyuma yake. kwa maana nitachomoka yanikinizidi kimo
Simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo Dar. muheza1982@hotmail.com[/QUOTE
Samahani mgosi kama nitakukwaza, kwa maelezo yako inaonesha wewe ni mwenye makuu sana. na hilo ni si jambo jema. Kama wazazi wetu wangekuwa na mashauzi kama ya kwako wote tusingezaliwa.
Nawasaidia hao unaowatafuta uwawekee picha yako sio maneno matupu!
Mimi nawashangaa sana wabongo kwa kuponda kila kitu. mimi nimetumia technologia kujitafutia mke na kutoa vigezo ambavyo nimeona ni muhimu kwangu, lakini mnaniponda kwani mnataka niwaoe nyie?? Mnataka nifanyeje? Nyie mkiwa mmeshaoa au kuolewa mniache na udhaifu wangu. Nina uhakika wa kumpata mwanamke wa dream yangu. Sijatafuta malaika, nimetafuta mwanadamu. Na pia siwezi kusema mie ni mutu hovyo, lazima nijinadi, kwani nimesoma, mtanashati na ukweli ndo huo.Nina maisha ya kuridhisha na ninashukuru Mungu kwa hilo. Narudia tena vigezo vyangu
1. Natafuta mwanamke mrembo, na msafi
2. Mwanamke mwenye hips na maziwa makubwa
3. Mwembamba na mnene sawa tu
4. Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja
5. sitaki mwanamke mwenye bwana au boyfriend, unless uhusiano wao umekwisha
6. Mwanamke asiwe na drama, kwani mie sina drama kabisa. Mapenzi yawe ni yangu na yake. Habari ndo hiyo wakuponda mniponda. Mrembo kama ni wewe, ni beep kupitia interneti yangu hapo chini na wanga, wenye wivu wote wakajinyonge. Ila mrembo wangu anishtue
Simu tubabadilishana baada ya muda wa kuwasiliana. Nipo Dar. muheza1982@hotmail.com
ha haaaaaaaaaaaaaa haaa haaaaaaaaaaaaaaa................mkuu nimecheka sana a labda jamaa anaogopa mambo ya nikusaidiaje uleee wimbo wa prof jayacha kutafuta wachumba kwenye mtandao, rudi kijijini wazee wakutafutie mke mwema kama huwezi tafuta mwenyewe, acha mambo ya mitaani
Huyu jamaa nimeshitukia nia yake hatupati ng'o si unaona kule kaanzisha thread hakurudi kaleta hii pumba nyingine kaingia mitini shindwa