Natafuta mwenza wa kiume

Hahaaaaa huyu bwana nilitaka kumuoa kazingua kapata jamaa kazaa nae na sasa karudi jamvini na nilimuokota hapa hapa jamvimi du makubwa hayo
 
Hahaaaaa huyu bwana nilitaka kumuoa kazingua kapata jamaa kazaa nae na sasa karudi jamvini na nilimuokota hapa hapa jamvimi du makubwa hayo

Muogope Mungu ndugu yangu. Unanifahamu mimi? unauhakika na unayoyasema? kama kweli unanifahamu hebu uambie uma mi ni mtu wa aina gani na napatikana wapi na jamaa nilozaa naye ni nani? kabla ya kuropoka uwe na uhakika na maneno yako.
 
Nipm please
 
Utapata tu, kazana.
 
Dini ndio kikwazo kwangu.
 
Mhuuuuuuh mwajiliwa tena non goverment vigezo kibao na umesahau una mtoto hilo
 
We ishi maisha yako.. Kula bata lea mtoto...
 
Mungu atakupa halafu unaweka masharti..
Wajua anayokuwazia.. Au wewe wajijua zaid Kuliko Mungu anavyokujua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…