Natafuta mwenyeji hapa Beni Congo nilitoka Tanzania wiki mbili zilizopita kupitia Julius Nyerere International airport hadi kampala nitakaa Kampala hotel ya 5 star kwa siku mbili then nikachukua basi Kampala kuja Beni japo nilikuta mpaka imefungwa ila nilipita sasa Niko hapa beni nmechoka.