Natafuta mwekezaji kwenye biashara yangu

Natafuta mwekezaji kwenye biashara yangu

Jr mtu

New Member
Joined
Feb 1, 2022
Posts
3
Reaction score
4
Haya mambo ya partnership wanayaweza wenzetu tu ngozi nyeupe kwetu sisi wabongo mtaishia kushikana mashati tu mkuu[emoji1787][emoji1787]

I suggest uanze kidogo kidogo tu hivyohivyo mkuu huku ukikua taratibu au kakope pesa mahali wewe binafsi ujitegemee achana na mambo ya partnership.
 
Habari wana jamii

Mimi ni fundi wa furniture natafuta mtu ambaye tunaweza fanya uwekezaji kwenye upande wa samani za ndani kwa mkoa wa Mwanza ama Mbeya.

Mimi ni fundi ninayefanya kazi za kiwango kizuri na utofauti mkubwa napia ninazo mashine portable mashine zote.

Kwa ambaye anahitaji anaweza nitafuta kwa kunitumia ujumbe ili tuweze fanya mawasiliano zaidi

View attachment 2149982

View attachment 2149984

View attachment 2149985

View attachment 2149986
Wazo zuri mkuu ila hujaweka contacts zako!
 
Haya mambo ya partnership wanayaweza wenzetu tu ngozi nyeupe kwetu sisi wabongo mtaishia kushikana mashati tu mkuu[emoji1787][emoji1787]

I suggest uanze kidogo kidogo tu hivyohivyo mkuu huku ukikua taratibu au kakope pesa mahali wewe binafsi ujitegemee achana na mambo ya partnership.
Umemaliza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom