Natafuta mwanaume

Natafuta mwanaume

Nsame kwanza ungeuliza kapata au bado? Offer ilitangazwa july mkuu, na watu wlimwagika by the second and not minutes.
 
Mimi ni msichana naamini mme anapatikana sehemu yoyote. Natafuta mme awe mkristo mwenye miaka 29-33. Naomba ani PM.
weka cv yako je bado seald zote zipo? unaelimu kiasi gani unakazi au vipi na mambo mengine uwasaidie vijana kuchukua maamuzi
 
Usivunjike moyo kwa baadhi ya majibu hapa. Kama nia yako ni kupata mume muishi maisha halali - utafanikiwa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom