nanjilinji
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 1,206
- 566
Usijali paka nywele rangi nyeupe kama mzee wa magumashi aone kama una 55 atalainika tuVibabu vina familia..
Bora angesema kuanzia 30 ningejitosa coz hata mm natafutaa...

Nimegundua kitu kuna baadhi ya vichwa havifahamu maana ya neno (PM) mwenye muda asaidie kufafanua mana mie napita t!
Mh sipati picha mangapi umeona mpaka ukaamua kuweka vijana pembeni. Wala sikulaumu. Good Luck umpate wa kwako pekee yako. Usiwe type za akina Zahra White.
Bibie Hupitwi na jambo.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hahahaha. Mie tena. Wewe umefata nini hapa na umri wako haujatajwa.
Mh sipati picha mangapi umeona mpaka ukaamua kuweka vijana pembeni. Wala sikulaumu. Good Luck umpate wa kwako pekee yako. Usiwe type za akina Zahra White.
amu,njoo huku Zahra White ana mume? hahahahahahahaha. Umeopoa muuza chipsi usiku huu unasingizia ni mumeo.mume wangu anakusalimia
amu,njoo huku Zahra White ana mume? hahahahahahahaha. Umeopoa muuza chipsi usiku huu unasingizia ni mumeo.