Natafuta mwanaume

Natafuta mwanaume

Hi Lily,

Toa details zako zaidi

Pia mbona umechagua wanaume wenye umri mkubwa hivyo?

Rgds

Meander
 
Dada mbona unaweka umri huo kulikoni?
 
Mbona hamjiamini!!!!

Ss we unataka kila kitu kimwagwe humu,we vipi bana,PM mambo yote kwa sababu kuna watu hawachelewe hata namba ukiweka hapa unaanza kubipiwa kila dakika,mara nitumie MPESA,tafadhali nipigie,kwani watu wana dogo?!
 
Nimesema hamjiamini kwasababu yeye ameomba aliye interested amtumie PM,wewe nawe unasema "naomba ni PM" ungekuwa wajiamini ungemtumia wewe coz ameshatoa maelekezo.
 
Umeshinda basi.au una lingine.nimesham-PM.na tunaendelea na mawasiliano.
 
ww binti taratibu wamekulipua vijana kumbe mnajua wazee dawa nenda kampuzike na wazee mwanangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom