okay, hili ndio tatizo, unafosi sioawe na mpango wa kuoa mwaka huu,
too selectiveKwa alie tayari kwenda kwenye hatua hii
Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume,kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home,ninao kutana nao wengi kwanza hawaamini kama nipo single na wengine ni waume za watu hivyo inanipa wakati mgumu naishia kubaki single
Umefika muda nataka kutulia kuwa mke kwa mume na mama wa familia,nitafurahi kama nikipata mtu mwenye interest hizo.Najua kuna wanaume wengi tu wapo tayari kuoa lakini kwenye circle yao hawaoni watu walio tayari kama ilivyo upande wangu
Naomba niweke vitu vya muhimu ambavyo ningependa muhusika awe navyo angalau
Vigezo
1)awe anaishi Dar preferably mikoa mingine long distance relationship ni tatizo,Dar atapewa kipaumbele zaidi
2)awe na kipato stable cha kumudu familia yake,nikimaanisha kuanzisha familia isiwe mzigo kwake,au mpaka ajipange mtu ninae muongelea hapa ni ameshajipanga kuoa
3)awe ni mtu ana utu na hofu ya Mungu,mkristu R.C Au K.K.T itapendeza
5)mrefu asiwe chini ya 170cm
6)ambae hana mtoto au kama ana mtoto mmoja akizidi mmoja ni changamoto haswa kama kwa mama wawili tofauti
7)umri miaka 33 kuendelea
8)awe mtafutaji amechangamka kuna wanaume wapo wamezubaa jamani,mtu anae ridhika na maisha kirahisi itakuwa changamoto maana mimi nipo sharp pia nikipata sharp mwenzangu tutaenda sawa
9)awe na mpango wa kuoa mwaka huu,mimi si mtu complicated aina ya ndoa just a simple one,kama wote tuna nia moja kila mtu ameamua kutulia naamini inawezekana
Sifa zangu
Ni mrefu,maji ya kunde,umbo la wastani sio mwembamba sio mnene,umri miaka 27
Nimejiajiri
Sina mtoto
Mcheshi kiasi mkimya kiasi
Mengine tutaelewana tukishaongea Mungu akijalia huko PM
Urefu umenikosesha mchumba hapa kimo tuu ndo nilipofeli
Kingine mm ni mtu wa Kuna mchongo nausikilizia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tambua kwamba ndoa sio bf gf relationship. Unaposema awe tayari kufunga ndoa mwaka huu huko ni kuwa na unrealistic expectations.Kwa alie tayari kwenda kwenye hatua hii
Najua wengi mtajiuliza kama huko mtaani sikutani na wanaume,kwanza wanaume wapo wengi mtaani lakini kutokana na nature yangu mimi mizunguko yangu huwa ni kwenye shughuli zangu na kurudi home,ninao kutana nao wengi kwanza hawaamini kama nipo single na wengine ni waume za watu hivyo inanipa wakati mgumu naishia kubaki single
Umefika muda nataka kutulia kuwa mke kwa mume na mama wa familia,nitafurahi kama nikipata mtu mwenye interest hizo.Najua kuna wanaume wengi tu wapo tayari kuoa lakini kwenye circle yao hawaoni watu walio tayari kama ilivyo upande wangu
Naomba niweke vitu vya muhimu ambavyo ningependa muhusika awe navyo angalau
Vigezo
1)awe anaishi Dar preferably mikoa mingine long distance relationship ni tatizo,Dar atapewa kipaumbele zaidi
2)awe na kipato stable cha kumudu familia yake,nikimaanisha kuanzisha familia isiwe mzigo kwake,au mpaka ajipange mtu ninae muongelea hapa ni ameshajipanga kuoa
3)awe ni mtu ana utu na hofu ya Mungu,mkristu R.C Au K.K.T itapendeza
5)mrefu asiwe chini ya 170cm
6)ambae hana mtoto au kama ana mtoto mmoja akizidi mmoja ni changamoto haswa kama kwa mama wawili tofauti
7)umri miaka 33 kuendelea
8)awe mtafutaji amechangamka kuna wanaume wapo wamezubaa jamani,mtu anae ridhika na maisha kirahisi itakuwa changamoto maana mimi nipo sharp pia nikipata sharp mwenzangu tutaenda sawa
9)awe na mpango wa kuoa mwaka huu,mimi si mtu complicated aina ya ndoa just a simple one,kama wote tuna nia moja kila mtu ameamua kutulia naamini inawezekana
Sifa zangu
Ni mrefu,maji ya kunde,umbo la wastani sio mwembamba sio mnene,umri miaka 27
Nimejiajiri
Sina mtoto
Mcheshi kiasi mkimya kiasi
Mengine tutaelewana tukishaongea Mungu akijalia huko PM
Hua havikosi vitu vya kuninyima sifa mwanzo ilikua ni umri pekee leo imeongezeka urefu.
Mungu akujaalie.
AiseeAwe na mpango wa kuoa mwaka huu