Umri wangu miaka 41 nina shughuri binafsi za kuniingizia kipato, naye pia awe mwajiriwa au shughuri yoyote halali ya kumwingizia kipato.Umri wake miaka 45-60 alitayari aniPM KWA WALIO SERIOUS TU
Umri wangu miaka 41 nina shughuri binafsi za kuniingizia kipato, naye pia awe mwajiriwa au shughuri yoyote halali ya kumwingizia kipato.Umri wake miaka 45-60 alitayari aniPM KWA WALIO SERIOUS TU
Mama, Dada, Shangazi pole kwa unayo pitia , Mungu ni mwema atakupa haja ya moyo wako , okay. Waapuuzie wanaokukwaza dear uwasamehe tuu bure hawajui walitendalo, mpendwa . I love you dear and it is well . Usiwe na Shaka utapata tuu haja ya moyo wako in Jesus name , Amen. Asante .
pole sana timaso kwa unyanyapaa uliopewa live. huyo jamaa nauhakika hajapima afya yake
nashukuru kwa ushauri wako ni mzuri sana lakini wapo wenye vvu kama mimi na wenyeenye wajukuu hao ndo ninaowatafuta wanahitaji kuishi na mke kumbuka nasi ni binadam
asante na nimemsamehe.Ni Kweli na hamuogopi Mungu hata kidogo.Hana roho ya kiutu Hata kidogo, yaani I'm so pissed off . Why he is evil? Why? Dada Wa watu kakosa nini Jamani? Kusema ukweli ? This is not fair at all . Very painful . Thanks!
mungu atakujalia utampata tuu, una haki ya kupata mahitaji binafsi kama mke