Natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati

Mimi ni siye na pesa nitaishia kuwaita mashemeji.. Kuna ambaye juzi alisema anahitaji marafiki wa kiume na hata wa kike nikamfata pm akaniuliza unaishi wapi na unafanya nini nikamwambia napo ishi ila baada ya kumwambia ndiyo ni memaliza chuo natafuta ajira hakujibu tena massage hadi leo nimejaribu times three holaaa
 

Ni sahihi lakini hayo ni yatokanayo na dini nazungumzia mapenzi ya wawili bila contamination zozote
 
Haruna mdogo wangu acha kumdanganya msichana wa watu,,, ww muislam yeye Janeth.. kuna future kweli hapo au unataka kugonga tu

Wahenga walisema mwanamke hana dini! Huwezi jua, labda Haruna ndio tulizo lake bibi Janeth.
 
Naitwa Janeth mpaka kufikia kuandika hapa nimechoshwa na mapenzi ya usaliti kwa wanaume.sasa natafuta mwenye mapenzi na kujenga maisha
Kwa nini usiwe verified users sasa? maisha unajenga mwenyewe mwenzio anakukuta njiani, hahuhitaji mtu kujenga maisha yako.
 
Naitwa Janeth mpaka kufikia kuandika hapa nimechoshwa na mapenzi ya usaliti kwa wanaume.sasa natafuta mwenye mapenzi na kujenga maisha

Huyu nahisi atakuwa mwembamba, pole mama ushatumika umechoka sasa unaona utulie, wanaume nao si mchezo ukijifanya pendapenda wanakuchakachua vya kutosha
 
Huyu nahisi atakuwa mwembamba, pole mama ushatumika umechoka sasa unaona utulie, wanaume nao si mchezo ukijifanya pendapenda wanakuchakachua vya kutosha

Unamdiss bila sababu ukisoma post yake kaandika kwa hisia mno kuna uhalisia ndani yake. Kuwa mkweli kawa mwaminifu kajitoa lakini akakutana na mafisadi wa mapenzi
Kuna wimbo wa zamani sana unaoitwa DON FALL IN LOVE WITH A DREAMER
Kama hayajakukuta huwezi jua maana yake
 

Hawa mabint stress ndo zinawasumbua sasa kama fisadiwa ilikuwaje akubali kuvua chupi? Ukimdadisi sana utakwambia alichovutiwa na lazima pesa itakuwa kishawishi kimojawapo
 
Duh umeshindwa kanisani, mtaani, kijijini kwenu utaweza yamtandaoni?
Ukute wewe ndo hauna hayo mapenzi ya kweli.
Au hujui kuwa unaweza achwa sababu ya wewe kuwa na utafauti na ulivyotegemewa
 
Aisee mpaka sasa sijakutana na post ya kumpa moyo dada yetu anayetafuta mutu ya kufanya naye maisha.
Jamani tupunguze kumponda sista wetu, au ndo mshamuwahi huko pm kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

Cc kindungwa
 
Last edited by a moderator:
Hahaaa, msaidie wewe mkuu, unaruhusiwa

Hahhahahahh, kaka sasa ndo unafafanua kabisa, me nilikuwa najikaribisha indirect.


Bibie kindungwa ebu njoo huku kwanza tujadili kitu cha msingi sana. Sio PM lakini, ni hapa hapa jukwaani
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru Mungu nmempata kupitia hapa hapa....namuombea anipende kwa dhat na mm ntampenda pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…