Natafuta mwanaume mlemavu

Natafuta mwanaume mlemavu

jk ni mlemavu wa pu.mbu, lilikatwa na kushonwa kwa staple machine alipokuwa John Hopkins Hospital Marryland marekani.
Mleta Uzi, Halahala usije ukathubutu kumchukuwa Mlemavu huyu**.HAIHITAJI SCANNING KUJUA KUWA MAFINYOFINYO YAMEZIDI HADI YAMEANZA KUBAKANA NDANI YA MEDULA YAKE.
 
Unataka wa dawa au ?

Kumkataa mtu sababu ya ulemavu si ubinadamu lakini kumchukua sababu tu ya ulemavu nadhani kuna tatizo (ukizingatia haujamuona bado)
 
Du walianza kukatwa mikono maalubino nimekwenda Geita nimekuta sasa wanakatwa mikono wenye viganja vya m na huyu naye kaanza kutafuta walemavu du ni hatari
 
Kuna moja yuko huku majambazi walimkata dushe lake.ngoja nimwambie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom