Natafuta mwanaume mgane

Una miaka 27, alafu una 28, pia una miaka 29

Jifunze kujieleza dadaangu mtu mmoja haiwezekani awe na umri tofauti tofatuti kwa wakati mmoja. Alafu sio mgane ni MJANE.
wewe ndio hujui Mjane ni mwanamke aliyefiwa na mume na Mgane ni mwanamume aliyefiwa na mkewe.
 


Hongera kwa kujitokeza. Mwenyezi Mungu akusaidie upate haja ya Moyo wako. Yaani mume atayekuweka karibu na Mungu na kukuletea furaha ya maisha.
 
Mimi nilijua unatafuta mwanaume mkware nikajisemea Yeees. Kumbe anatafutwa mgane. Kila la kheri Mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…