Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
bikra zote zipo?
Na umri aliousema kwa mwanaume kuwa ameshamaliza degree ya sheria ni kazi ngumu sanaSasa hapo unamiaka 27 kwa kigezo cha elimu ulicho weka humpati labda kibamia maana wote wapo busy na wasichana wa miaka 18-20
Natumaini wote wazima
Nahitaji mwenza ambaye tukijaaliwa aje kunioa
Awe muislam(muhim saaaana)
Miaka 27-36
Elimu Degree
Awe anajishughulisha angalau
Kama anavaa na cjaridhika na uvaaje wake bac Awe tayar kubadilika kimavazi maana napenda mume wangu awe smart saaana
Sifa zangu
Muislam
Miaka ni kati ya 24-27
Elimu, Degree(Sheria
NB:
1.Tafadhali hakikisha una sifa zilizotajwa hapo juu haswa dini maana sitaweza kubadili niliyonayo na ukijiona umezi 36 wala usijisumbue
Karibun PM mume wangu mtarajiwa
sio mathina sasa! inakuwa ni MathnaaWomen of principal.
Yote juu ya yote nina mke. Vp uko tayari kuwa mathina?
Hajui huyo mpotezeedada acha kuwa limited na dini za wazungu na waarabu ! zitakukosesha mume bure ishi kiafrika
Usimhukumu aisee, kiukweli ndoa inatakiwa iwe na vigezo. Halafu kama yeye ni muislam basi hakika anatakiwa achague na aridhike na vigezo vya yule ampendae. Ninukuu vizuri ndugu yangu, vigezo ni lazima awe navyo na wala hawi muislam feki eti kwa kuwa ameweka vigezo vya amtakaeDhahili wewe ni Muslim fake, ndoa na vigezo wapi na wapi, Omba tu umpata aliye mwema na mbadilishe wewe kumpeleka hayo uyatakayo wewe.
Inawezekana
Ngoja niandae kabisa vyeti vyangu kabla sijaenda PM nikikumbana na maswali nina upload tu kwa ushahidi.
Nimejikuta nacheka tu hahahaUnataka mwnye degree wew ni hr?? Wanawake wa bongo akili hamna.. ndoa ni tofaut sana na elimu ya shule