Natafuta mwanaume ambae atakuja kuwa baba watoto

Nakonde

Member
Oct 2, 2016
28
58
Habari zenu wadau,

Nimekuja kwenu mara nyingine, rafiki nimepata sasa natafuta mwanaume ambae atakua baba wa famiilia nitampenda na kumlinda, sifa zangu umri 25, mkristo, kazi nafanya kazi ya kufulia watu nguo majumbani kwao.
Mwanaume ninae mtaka awe na nia ya kuoa na mwenye mapenzi ya dhati anipende kama anavyo wapenda ndugu zake wa kike, sitaki mwanaume mwenye mfumo dume daima
mengine kuhusu mimi tafadhari in box.
 
mm hapa
 
Karibu inbox nakonde
 
Mbona mmekua wengi hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…