Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,252
uje na Gari unauza au unataka kununuaWewe njoo pm aiseee
uje na Gari unauza au unataka kununuaWewe njoo pm aiseee
usijali najikubali na rangi hii hii.Pls delete. Nilikiwa natania sorry times 1000 my dear
SawaAngalia PM yako

Mbona kutishanauje na Gari unauza au unataka kununua

Huu wako unatosha mkuu tubanane hapa hapa 😅😅Andika uzi![]()
Hakuna mwenye vigezo hivyoNamimi pia natafuta
Sifa zangu
Nina miaka 24
Elimu: kidole kinachofuata baada ya Shahada kabla ya kidole cha chanda
Kazi : Jobless
Rangi: mweusi
Urefu: Mrefu sana
Mwili: kawaida
Sifa za mwanamke nimtakae
Umri: yeyote
Dini: yeyote
Elimu: yeyote
Rangi: yeyote
Kazi: yeyote
Mwili: yeyote
Urefu: yeyote
Mwenye vigezo karibu DM
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika ntauletaMkuu ukipata leta mrejesho

Andika uzi wakoSisi wa la 7 hututaki??.
Halafu hii I'd yako inaonekana ni maalum kwa kutafutia mwanamke,unayo id nyingine ya matukio mengine?

Sawa mkuu Citizen BNamimi pia natafuta
Sifa zangu
Nina miaka 24
Elimu: kidole kinachofuata baada ya Shahada kabla ya kidole cha chanda
Kazi : Jobless
Rangi: mweusi
Urefu: Mrefu sana
Mwili: kawaida
Sifa za mwanamke nimtakae
Umri: yeyote
Dini: yeyote
Elimu: yeyote
Rangi: yeyote
Kazi: yeyote
Mwili: yeyote
Urefu: yeyote
Mwenye vigezo karibu DM
Sent using Jamii Forums mobile app
