Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
MMMmmmhh nimeelewa sasa . Ama kweli soma ujioneeMkuu kama anatafuta mtu wa kuisimamisha dede nonihinooo, huwezi kweli kuunganisha dots!!!
MMMmmmhh nimeelewa sasa . Ama kweli soma ujioneeMkuu kama anatafuta mtu wa kuisimamisha dede nonihinooo, huwezi kweli kuunganisha dots!!!
habari girls? natafuta mwamke awe mpenzi wangu kwa shrti la kunivumilia maana mimi nimepitia katika mapenzi ya jinsia moja so nataka mwanamke atakeweza kunifanya nikasimamisha vizuri tunapokuwa kitandani maana naitaji awe msaada kwangu katika kipindi hiki ninacho achana na haya mambo mwenye nia ya kweli anichek .
asiwe zaidi ya miaka 30
asiwe chini ya miaka 24
asante.
kusimamisha ninasimamisha tena vizuri, shida yangu nipate mwanamke mwenye kuniandaa kiakili ili nihame kabisa nilikokuwa maana najua wapo wanawake wenye mapenzi ya kweri maana kuna jamaa ameniambia ata yeye alikuwa kama mm ila alipopata mwanamke muelewa amemsaidia na wamekuwa pamoja mwaka wa sita sasa kwenye ndoa na wana watoto wawili.
asante.
Naomba TiGO hiyo, halafu ndio utafute mchumba
Hongera kwa hatua mathubuti unayojitahidi kuifuata. Usiache na kumuomba Mungu akuzae upya.
Huyu ni muongo hajaacha hiyo tabia ya ushoga, hii ni janja yake ya kutafuta wanaume, biashara inafanyika hapo.
Alimtumia Kana-Ka-Nsungu pm kama atamuhitaji. Katika watu wengi kuna kila aina ya watu na tabia zao na huyu ni mmoja wao tu.
duh hata mimi Man!Kweli tembea uone.. napita tu...
naomba tigo hiyo, halafu ndio utafute mchumba