hoyugi
Member
- Jul 3, 2013
- 73
- 12
- Thread starter
- #21
Mkuu kama anatafuta mtu wa kuisimamisha dede nonihinooo, huwezi kweli kuunganisha dots!!!
kusimamisha ninasimamisha tena vizuri, shida yangu nipate mwanamke mwenye kuniandaa kiakili ili nihame kabisa nilikokuwa maana najua wapo wanawake wenye mapenzi ya kweri maana kuna jamaa ameniambia ata yeye alikuwa kama mm ila alipopata mwanamke muelewa amemsaidia na wamekuwa pamoja mwaka wa sita sasa kwenye ndoa na wana watoto wawili.