Natafuta mwanamke wa kuoana naye

Natafuta mwanamke wa kuoana naye

tororoka

Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
16
Reaction score
3
Nahitaji mwanamke

Sifa;
Anayejitegemea,mcha Mungu,mtulivu na asiye na tamaa. mwonekano mzuri umri 20-32 mnene au wastani.

Aliyetayari atume (PM) private message
 
Nahitaji mwanamke
sifa
anayejitegemea,mcha Mungu, .mtulivu na asiye na tamaa. mwonekano mzuri umri 20-32 mnene au wastani aliyetayari atume (PM) private message
dini gani?
wewe unafanya kazi gani? unaishi wapi? unawatoto? ulishawahi kuoa?
 
Unatafuta wa kuoana na sio wa kuoa hutapata heri ungesema unataka mwanamke wa kuoa hapo ungepata
 
sifa zote tajwa hapo juu zipo so aliyeserious nafasi ipo
 
Panda fastjet hadi Mwanza ukishafika uni PM.Nikuelekeze mchumba alipo.Niamini and u want regret.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom