skfull
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 2,944
- 2,385
Umri wako wako tafadhali.., usijekuta giza lineshaanza kuingia!!
Hahahaaaa!!!
Umri wako wako tafadhali.., usijekuta giza lineshaanza kuingia!!
Ngoja waje
Mbona unajitoa hutaki kujaribu bahati?
Hahahaha tatizo sifa hizo sina
Usijishushe bhana wewe ni mwanamke unaweza kuwa vyovyote Kwa ajili ya mtu fulan fanya jaribio la makisudi huwenda mafanikio yakaja kwako bhana
Missing u 
This time nitakutumia kabla ya sikukuu ya Idd my dear wasalimie wote.