VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 253
- 566
sijempangia mtu anachohitaji, anae hitaji kiswahili kizuri atawapata huko vyuoni, anaetaka ndoa fursa ndo hii. Af huu ni uzi wawanawake wew umefata nini huku au ni bwabwa.Kama umeshindwa kuandika kiswahili kizuri utaweza kuishi na mwanamke wewe?
Unjuu naingika k,koo hapa...Kama umeshindwa kuandika kiswahili kizuri utaweza kuishi na mwanamke wewe?
Leo nimejihimia Temeke huku, kuna dili.Unjuu naingika k,koo hapa...
Upo wapi now
Sisi ni wa kiwalani usiombe ukutane na wa temeke..Leo nimejihimia Temeke huku, kuna dili.
Pale ntatimba mishale, Kuna mgozi inabidi tuusukume chap.Sisi ni wa kiwalani usiombe ukutane na wa temeke..
Oa nikitoka kufunga mzigo naingia rangi tatu hapo mzeee
Kama huu uzi ni wa wanawake, Sasa kwanini unatafuta mwanamke mwenzio?sijempangia mtu anachohitaji, anae hitaji kiswahili kizuri atawapata huko vyuoni, anaetaka ndoa fursa ndo hii. Af huu ni uzi wawanawake wew umefata nini huku au ni bwabwa.
Mbona umeweza kuishi na Mimi na hujui kusoma🤣?!Kama umeshindwa kuandika kiswahili kizuri utaweza kuishi na mwanamke wewe?
Sijui kiandika wara kusom a hila kwangu humefuata hakili ya petha bae 😂!M
Mbona umeweza kuishi na Mimi na hujui kusoma🤣?!
shambani wapo vibarua. Mke wangu mtarajiwa yey kama atahitaji kutembelea kusimamia kazi au anapassion na kilimo sio mbaya. Kwa kifupi atakua na machaguo akitaka mambo ya biashara pesa ipo pia kama anataka kuangalia tamthilia home yeye tu.Kaoe huko kwenye mashamba Yako.
Hawa wa humu hawana mda na shama.
Sijafata hela nimefata unavyoongea dear😂♥️🙏Sijui kiandika wara kusom a hila kwangu humefuata hakili ya petha bae 😂!
"Ivo "ni kiswahili sahihi, kumbe?Wewe hata Godoro sidhani kama unalo.
Uandishi wako unaonyesha ivo
Magoli kaka now natokea gomzi hapaPale ntatimba mishale, Kuna mgozi inabidi tuusukume chap.
Oyaah! Lazima tuimbe nao, Sikukuu hii!
Wewe ndio mwelewa wangu sasa! 😂♥️ bora tubaki hivi hivi na maelewano ya Kimataifa. 🙏Sijafata hela nimefata unavyoongea dear😂♥️🙏