Natafuta mwanamke wa kuoa

mlossy

Member
Jun 25, 2012
40
34
Mimi ni kijana wa Kitanzania nina umri wa miaka 31, ninaishi Dar. Mimi ni mfanyabiashara.Ninatafuta mwanamke aliyeajiriwa au mfanyabiashara kama mm. Sibagui umri,dini wala kabila . Kwa aliye tayari anicheki kupitia 0692490341.

Karibuni sana.
 
Unatafuta mke wa pili..?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom