Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

Habari jf kwanza kabisa napenda kutoa shukurani kw mungu mpk now nipo mzima wa afya nanyi natumai mu wazima kama nilivyosema natafuta mwanamke wa kuishi nae umri wake awe na 25 +..... 30 pia awe mkristu mm nafanya kazi nimeajiliwa plz kama upo tayari contact me 0742713444 ahsanteni naomba kuwasilisha
Nioe mimi, mahari tutashea
 
Ai
Mkuu nimepitia mengi nimeumizwa sana kufkia mpk naandka hapa no vigezo vingi cha msingi awe anajitambua na mwenye maono ya maisha
Aisee Pole sana Ndio huyu umempata Anakutesa??? Wadada Muwe Na Huruma Kwa Kaka zenu
 
Kaf
Mkuu uvumilivu wa hali ya juu unahitajika. Hata ivo mi nina mashaka na upatikanaji wa mwanamke humu. Labda wa kujifurahisha siyo wa ndoa. Lakini usikate tamaa.
Kafungua Uzi kashaumizwa Tayari Tena balaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom