Natafuta mwanamke wa kuoa kwa mkataba wa miezi tisa

Jf ina mengi tena atapata usione wamepita kimya.

Wenye nia mkwende pm huyu ni mbwembwe tu hakuna cha mkataba wala nini ukijiongeza ndo mazima
Natamani nimpata wa kujiongeze ili iwe mazima,iLA mkataba ni lazima...
 
Tunapokezana mkuu,kikubwa sio kunizalia kikibwa sipendi ndoa za bugudha tukzinguana kila mtu anachukua time zake...
Hakuna ndoa isyokua na misukosuko muhimu nikuvumiliana na kuangalia je hili tatizo tutaweza kulimaliza wote wawili kama wanandoa? au kunahitajika nguvu ya ziada,as a man unatakiwa uwe mwenye msimamo na mamuzi ili nyumba yako isiyumbe...
 
Jas stress hazikwepeki ndugu yang
Najua hivo mujar,nmeona mengi sana kwenye ndoa,mi mamangu ni mlemavu kwa sababu ya Mzee,bro wangu kila Siku anajuta kuoa,dadangu Mme wake (shemeji)ni Mshikaji wangu sana tunakunywa wote,ilA umalaya anaoufanya mungu unajua,
Spending kumuumiza mtoto wa mtu au mm kuumizwa!!
Mtu akiona tunashindwana tunaaggana kiroho safi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom