Natafuta mwanamke wa kuishi nae

Gluk

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
1,859
Reaction score
3,025
Naamua sasa kuaga ukapela nimeamua nije JF kutafuta mwanamke wa kuishi nae na kuanza nae maisha. Kabila langu mkurya na yeye sharti awe mkurya.. Umri wangu 45 , nimtakae awe na 50+
Picha yangu nimeweka na yeye sharti aweke picha yake kabla hajaja PM..
NB: usije pm mambo yote tunamalizia hapa hapa weka picha nikikupenda mwenyewe nitakufuata PM.
Hiyo ni nyumba yangu sijapanga.
 
45 ndo umefikia hapo ki maisha si mchezo, na ujue mwanamke yeye ni mrudisha nyuma maendeleo ya mwanaume si mtakosa hata pa kulala ?
 
I believe in woman
Akifunika mitenge hicho kitanda unakisahau..
Akipitisha fagio, maji na Moto hicho chumba utakitamani
Siku 1 tu kwa mwanamke inatosha kubadilisha mazingira
 
Mkuu, huyu pia anatafuta mwanaume wa kuishi nae, kabila lake ni mjaluo, bilashaka mtaendana...teh[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…