Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 18,946
- 46,041
Hahahaa kijana tutakufikiriaKipo cha kutosha, dada yenu hatapata shida kabisa, labda atake mwenyewe kulala njaa.
Kanywe kwanza pepsi shem, unipigie debe kikaoni. Intelligent businessman Dahan View attachment 2669316
.Kipo cha kutosha, dada yenu hatapata shida kabisa, labda atake mwenyewe kulala njaa.
Kanywe kwanza pepsi shem, unipigie debe kikaoni. Intelligent businessman Dahan View attachment 2669316
.Hahahaa kijana tutakufikiria
Kikubwa agent niwe billionaire ππ€£Umeamua kuniozesha kwa mara ya 7 sasaπππππ
.Fanya hivyo shem, hamtaki dada yenu aolewe na bili
Napenyezewa taarifa hapa na chama kuwa wewe bilionea wa mchongo kibunda sio chako ππFanya hivyo shem, hamtaki dada yenu aolewe na bilionea π
.Napenyezewa taarifa hapa na chama kuwa wewe bilionea wa mchongo kibunda sio chako π
π€£π€£π€£ daaah!10m anaipata ndani ya miaka 10. Usimsikilize huyo kijana.
aisee weweππ π π πΆ
6. Rangi yoyote, awe na shepu kiasi au zaidi, sura sio lazima
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ πNimekuelewa sana hapa mkuu π
Hizo zipo, home wifi.. ubaya sasa ukitoka hapo nyumbani huko nje utatumia nn?Aiseee Poleni sana
Nimezoea kulipa bill ya mwezi, ngoja nijiandae na maumivu.
Kwani netizens ni viumbe kutoka sayari gani?Hakuna mke mtandaoni kaka
naona umesaliti chamaHabarini mimi ni mgeni humu.
Nimetokea kuupenda huu mtandao
Nina miaka selasini (30) natafuta msichana wa kuwa naye niko serious. Vigezo vyangu ni hivi ππΎ
MUONEKANO: mrefu wastani, handsome kiasi sio sana, sina uhuni ni mstalabu
Kabila: Mmeru
Umri: 30
Dini: Mkiristo
Elimu: La 7
Kazi: Kubeba tofari/Saidia fundi/ulinzi
MAkazi: Darisalam
Vigezo vya Mwanamke/msichana nayemtaka:
1.Umri kuanzia miaka 17-45
2. Elimu yoyote
3. Dini yoyote sibagui.
4. Kazi hata asipokua na kazi ni sawa
5. Mtoto akiwa naye awe mmoja tu
6. Rangi yoyote, awe na shepu kiasi au zaidi, sura sio lazima
7. Awe Darisalam au awe tayari kuishi Dar
Karibuni kama kuna mtu ana ndugu yake au dada yake basi unaweza kucheza kama agent.