Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,987
- 1,210
Hajapotea isipokuwa namtafuta ili tujenge uduguKaripoti polisi upewe RB ili huyu mwanamke wa kiarabu akionekana tu akamatwe
Ndiyo nitumie au ni pmNina namba za mmoja unataka?
Mombasa ni mbali mkuuNenda mombasa
Mkuu Pakistan ni wahindiNenda Pakistan
Zenj nimeenda lakini sijawaonaNenda zenj
Wanajamvi habari za leo,
Kwa hakika nimeleta wazo langu hili hapa jamvini lengo langu kubwa ni mwanamke wa kiarabu.Sifa na mambo mengine tutaeleweshana tutakapo kuwa tumewasiliana
Asante sana mkuuhahahahah kwenye maisha lazima ujiwekee malengo makubwa,kila la heri mkuu
Hapana maana Mongolia iko mbaniMi mMongolia.......lakini sio mbali sana na Arabuni.........nije....?..
Hapana maana Mongolia iko mbani