Mlima meru
Senior Member
- Dec 30, 2012
- 114
- 20
Mimi naishi Arusha ni kijana mstaarabu nilieajiriwa Serikalini mwenye kipato cha kawaida. Nahitaji kupata mwanamke atakayekuwa rafiki yangu.
Sifa;
1. Awe anajiweza financially kwani kipato changu ni cha kawaida
2. Tuwe tunaweza kukutana naye hasa weekend
3. Awe na Afya njema
4. Awe na umri kuanzia miaka 30 na kuendelea
5. Haijalishi kama ana mtoto alimradi anasifa tajwa hapo juu
Anayependa na mwenyesifa naomba anitumie ujumbe (pm) au email kupitia. mlimameru@gmail.com
Nitamjibu yeyote atakaye jitokeza na naahidi kuheshimu mawazo ya mtu.
Natanguliza shukrani