Mimi ni mwanaume msomi mwenye elimu ya chuo kikuu,sina kazi lakini nina mipango mingi ya kuwa mtu mwenye mafanikio makubwa kimaisha,ninapenda kufanya shughuli za kujiajiri ila tu mtaji sina.natafuta mwanamke atakaye nirahisishia mipango ya kimaendeleo.ninaahidi kuwa mwenza mwema na mwaminifu.namba yangu ni:0769743787
Soma vizuri hapo juu,sitafuti kitu kupitia rushwa ya ngono nafuta mwenza
mwanaume msomi asiye na kazi anatafuta kulelewa, aibu gani hii kwa sisi wanaume wenzio....!
haya ndugu....Mi najitolea kumlea
unauza ngono upate mtaji, tafuta mkopo au anza na kazi yeyote,weka vyeti kabatini kwanza.
umri wako?
Na umri wa mwenza unaemhitji je?
Mi najitolea kumlea