Natafuta mwanamke(muislam) wa kuoa

Natafuta mwanamke(muislam) wa kuoa

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
462
Reaction score
540
Natafuta mwanamke wa kuoa awe
Muislam
Awe anajistiri
Manhaj salafi
Miaka 19-23
Ajue kupika mapishi ya kawaida tu
Ambae hajawahi kuchakatwa

Umri wangu 25
Kipato kipo Cha kawaida (uhakika)
Nyumbani Pwani
Asili Kilimanjaro
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom