Ubize upi wa kunitoa upwiru mimi ndugu ?
Kushinda barabarani nasubiri buku mbili za waja nao wanaonipa kuna muda jinsia ya kike natamani niseme usinipe buku mbili twende unipunguzie kokoro ila ndiyo vile naogopa wasije nirekodi nikapotea hewani .
Anyway nakuja mwanza _shamaliwa nimearikwa na kanisa la wasabato nizungumzie mambo ya uzazi tegemea kuniona nikitema yai huku natafuta kamchumba ka kisabato .
kingereza ni lugha ambayo hajazaliwa nayo,amejifunza,anaweza kukosea kama wengine, ukizingatia rwanda wana lugha kuu mbili za mawasiliano kifaransa na kinyarwanda huku kiingereza kikitumiwa na wasomi kama nyenzo ya mawasiliana na kiswahili kwa baadhi ya maeneo.