I'm cloude
With HIV+
44 age
Leave Rwanda
I need a wife
From Rwanda, Tanzania, Kenya
Be with HIV+
I want to make marriage with her
I have one child
I love god
Job
If you accept to leave rwanda very good
Or in your country
Contact me to mbayve@gmail.com
Itakua ana maanisha ameondoka Rwanda,
Ila mkweeš¤£Better if you write in swahili language ,don't you know we whites in this forum ,we are very few .?
Tell me the character of the wife you wish to be with that I can start fighting to give you what you want
Tanzania na kenyaItakua ana maanisha ameondoka Rwanda,
Sasa sijui atakua anaishi wapi tu siku hizi.
Hizi lugha hizi šItakua ana maanisha ameondoka Rwanda,
Sasa sijui atakua anaishi wapi tu siku hizi.
Anasema yeye ni mwanaume mwenye umri wa miaka 44, anaishi Rwanda na ana maambukizi ya HIV. Anatafuta mwanamke ambaye pia ana HIV ili aoe.Naomba mmoja wenu anitafsirie huu uzi kwa Kiswahili,
Kama ni tangazo la kazi niApply sasa hivi.
Ninao dada kikubwa anipe ushirikianoIla mkweeš¤£
We huyo mke unaye? Au ndio umpambanie tu mwenzio!
Ukimaliza kumtafutia huyo, nitafutie namimi, hizi mvua zitaniuašNinao dada kikubwa anipe ushirikiano
MhUkimaliza kumtafutia huyo, nitafutie namimi, hizi mvua zitaniuaš
Eee mkweeš
Hujui tu ndugu yangu ila ukiona siku zingine naamua kufunua kamusi yangu ya kingereza ,ujue ni katika kutafuta faraja ila alaaniwe aliyeketa mapenzi .Eee mkweeš
Sasa maneno ya kiingereza yanakutoa upwiruš¤£Hujui tu ndugu yangu ila ukiona siku zingine naamua kufunua kamusi yangu ya kingereza ,ujue ni katika kutafuta faraja ila alaaniwe aliyeketa mapenzi .
Pole sana mkwe ukiwa busy wala husikii kitu! Mwaka unakata unauona!Yananitesa mwanamkiwa mimi
Ubize upi wa kunitoa upwiru mimi ndugu ?Sasa maneno ya kiingereza yanakutoa upwiruš¤£
Pole sana mkwe ukiwa busy wala husikii kitu! Mwaka unakata unauona!